Pages

Friday, August 2, 2013

ACTRESS AUNT EZEKIEL KUFUTARISHA KESHO.

Habari ni kuwa actress maarufu nchini Aunt Ezekiel kesho tarehe 3 atafutarisha watu mbalimbali. Lakini tofauti na mastaa wenzake ambao hufutarisha mastaa na baadhi ya watu wa kawaida yeye atawafutarisha watu wa kawaida tu. Ni uamuzi mzuri kwa muigizaji huyo aliyetamba na filamu kibao kama vile Young Millionea, The Cold Wind na nyinginezo.

Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment