Pages

Thursday, May 9, 2013

KAKA YAKE DIAMOND PLATINUMZ KUWA MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA 2013 !

Uvumi ni kuwa aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu.  Rommy alipoulizwa na mhariri wa gazeti moja alikataa huku idaiwa ukanushaji wake ulikuwa kama unaficha kitu flani chenye ukweli ndani yake. Nae afisa mahusiano wa MultiChoice Tanzania Babra Kambogi alipoulizwa hakukanusha wala kukubali zaidi ya kusema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na litajulikana  25 May 2013 ambapo  mshiriki wa Tanzania ataonekana live katika mjengo wa huo wa kujiachia kwa sana nchini Afrika kusini.

Diamond na Rommy inadaiwa ni mtu na binamu yake na wametoka mbali tangu utotoni mpaka sasa. Je hii ni kweli? lets wait n see. Angalia picha hapo chini....................

                                                      Romeo Rommy Jonnes

No comments:

Post a Comment