Pages

Tuesday, April 23, 2013

RIYAMA AKERWA NA SCRIPT KUWA NA JILA LAKE NA FILAMU HUSIKA KUINGIA SOKONI KWA JINA LINGINE.

Riyama Ally one of the best actresses in Swahiliwood anakuja na films kibao ambazo kuna alizoandaa mwenyewe na nyingne za kushirikishwa. filamu alizoandaa mwenyewe na ambazo zipo katika hatua ya mwisho kukamilika ni pamoja na Likwata, Kajala na Safari na Muziki. Kwa upande mwingine Muigizaji huyo aliyepata umaarufu baada ya kuigiza katika filamu ya Fungu la kukosa huko nyuma anaonekana kuchukizwa na baadhi ya waandaji wa filamu ambao wakiwa location script inakuwa na jina lingine na filamu ile ile ikiingia sokoni inakuwa na jina lingine kitu ambacho kinawachanganya hata waigizaji wenyewe. " tatizo letu ktk shutin jina la script jingine na film ikitoka ina jina lingine. Hayo ndiyo kayasema Riyama hivyo script and story writers na hata producers kuweni makini na kazi kabla ya kuingia location.


No comments:

Post a Comment