Pages

Wednesday, April 24, 2013

YOBNESH YUSUPH(BATULI): KANUMBA NDIYE ALIYENIPA JINA LA BATULI HIVYO NALITUMIA KAMA ISHARA YA KUMUENZI.

Actress anayefanya poa kwa sasa Yobnesh Yusuph famously known as Batuli amesema kuwa marehemu Steven kanumba ndiye aliyempa jina la Batuli hivyo analitumia kama ishara ya kumuenzi na kumkumbuka kwa mchango wake kwake ambapo hata filamu iliyomfanya awe famous na kupata attention in the industry alicheza na Kanumba, filamu hiyo ni Fake Smile. Kwa upande mwingine actress huyo anachukizwa na baadhi ya graphic designers and film editors wasiokuwa makini na majina ya waigizaji na badala yake hujichagulia wenyewe majina ya kuwaita au kuwaandika juu ya makava ya films hata kama muigizaji husika hapendi majina hayo. The sexy diva aliongeza kuwa yeye anapenda waandishi na bloggers wamuandike kwa jina lake halisi la Yobnesh Yusuph a.k.a Batuli na majina mengine anayopachikwa na waandishi au graphic designers and film editors hayataki na anachukia kuona majina mengine kama Nesh Mohamed au Nesh Yusuph. Akichonga na Swahiliworldplanet muigizaji huyo alisema "Napenda waandishi waandike kama hivi Yobnesh Yussuph a.k.a Batuli jina la Batuli nilipewa na Kanumba nahisi kumuenzi na kukubali mchamgo wake kwng kwa kulitumia jina la Batuli"

                                                                    Yobnesh Yusuph(Batuli)

No comments:

Post a Comment