Friday, April 5, 2013

JACKLINE WOLPER: AM NOT ON FACEBOOK OR TWITTER CURRENTLY SO BE CAREFUL NA MATAPELI.

Exclusively Swahiliworldplanet is informing you that Jackline Wolper who is one of top actresses in Swahiliwood in not on facebook or twitter so be careful na matapeli. Wolper aliyasema hayo jana alipoulizwa na SWP kuwa akaunti yake halisi katika facebook ni ipi na kujibu kuwa hayupo facebook, na alipoulizwa kuhusu twitter alisema pia hayupo twitter hivyo kuwataka mashabiki wake kuwa makini na matapeli wote wanaojifanya ni yeye kwenye facebook na twitter. The sexy actress alisema kuwa kwa sasa hayupo twitter wala facebook but akijiunga atawaeleza fans wake so wawe makini sana wasijekuibiwa, Wolper alisema "cpo facebook kabisa cku nikiwepo nitawajulisha kwa sasa wanachat na watu fek tuu, pia sipo twitter".

Katika facebook kuna watu wengi wanaojifanya ni Wolper na fans kuamini yupo Wolper wa ukweli miongoni mwao kumbe sivyo, Pia katika twitter yupo wolper mmoja na watu wakidhani ni Wolper halisi lakini pia siye. Baadhi ya watu wamekuwa wakidai kutapeliwa na Wolper hao fake wakisema wamewaahidi kuwasaidia kuingia kwenye film industry so wanapoambiwa watoe pesa kama gharama za kuwasaidia hutoa na kuishia kutapeliwa. Wolper ameshatoa tahadhari so ukiibiwa jua hayamhusu na akijiunga facebook na twitter tutakueleza ujue kama wewe ni shabiki wake. PLEASE IF YOU LIKE JACKLINE WOLPER SPREAD THE NEWS FOR OTHERS TO BE CAREFUL WITH FAKE WOLPERS ON FACEBOOK AND TWITTER.


No comments:

Post a Comment