Friday, April 5, 2013

BEYONCE ROCKS AFRICAN PRINTS WITH JAY Z FOR THEIR 5TH WEDDING ANNIVERSARY IN CUBA.

The two were spotted in Cuba on Wednesday celebrating their 5th wedding anniversary. Beyonce alikuwa katika African look akiwa na kigauni cha pundamilia na rangi ya brown huku akiwa amesuka rasta ili kudhihirisha watu kuwa she is proud African. Jay Z nae alikuwa katika muonekano tofauti kabisa akiwa amevaa short. Hawakutaka kuzungumza na mapaparazi na police walikuwa busy kuwalinda ili kuimarisha ulinzi. They married on 4 April, 2008 in Paris. Look at the photos..........


No comments:

Post a Comment