Sunday, May 22, 2016

Wema Sepetu Launches Her Own Mobile Application And This Is What She Said.

Actress Wema Sepetu has just launched her own mobile Application, it will be about news and all updates about her and it will be available to all mobile networks in Tanzania. The launch event took place at Hyaty Regency Hotel, Dar es salaam this evenning and attended by the media, fellow celebs and close friends and family. Below is what Wema Sepetu wrote and pics from the event coming soon...

"Kwanza Kabisa nichukue nafasi hii Kusema Asante Mungu wangu kwa kunifanikisha kukamilisha kile ambacho nimekuwa nikikitamani na ambacho nimefanyia kazi kwa takribani ya miezi Mitano mpaka kufika siku hii ya leo... Lakini pia niseme Asante kwa Familia yangu yote kwa ujumla, Bila kusahau mashabiki wangu wapenzi kwa kunipa moyo wa kutokukata tamaa japokuwa kuna mengi ambayo kwa binadamu wa kawaida huwezi vumilia Ila kiukweli mashabiki wangu mmekuwa mnanipa nguvu na Courage everyday... Najisikia Fahari sana Leo hii kuwa Mwanamke wa Kwanza Barani Africa Kuwa na MobileApp inayonitangaza mimi Mwenyewe kama Content.... Kwa kutumia hii App unaweza kupata chance ya kupata zile habari zote za uhakika kuhusu Wema Sepetu... Kuna vingi ambavyo pia unaweza kupata kama Video Clips, Audio na Pictures kwa wale watumiaji wa Smart Phone... Lakini pia kwa wale wasio na Smart phone basi unapata Habari na Matukio mbali mbali kuhusu mimi ambayo sio Longo longo... Trust me with this app kuna mengi saaana mtakayoyapata... Ni Rahisi sana Una tuma Neno "Wema" kwenda namba .... and u are done.... Asanteni sana.... Nawapenda Mno... Huduma hii ipo Applicable kwa Mitandao Yote Tanzania.... What are u waiting for...?" wrote Wema on instagram

No comments:

Post a Comment