Saturday, December 13, 2014

Wazazi Wa Happiness Watimanywa Waenda London Kwa Ajili Ya Miss World 2014.

Wazazi wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa wakiongozwa na baba yake wa Tatu kutoka kushoto pamoja na mama yake wa Tatu kutoka kulia
wakiwa wameambatana na wadogo wa Miss Tanzania 2O13 pamoja na marafiki wengine wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mchana wa jana kuelekea Jijini London kwenye kilele cha mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa tarehe 14.12.2O14 ambapo mtoto wao Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa anaiwakilisha Tanzania.
Wazazi wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa wamewaomba watanzania kumwombea na kuendelea kumpigia kura Miss Tanzania 2O13 katika mashindano hayo Ili aweze kuiwakilisha Tanzania vema na kuibuka mshindi.

No comments:

Post a Comment