Wednesday, December 17, 2014

Nimepania Kuwa Actress Namba Moja Ndani Na Nje Ya Tanzania: Sabby Angel

Muigizaji wa filamu anayefanya vizuri kwasasa katika filamu Tanzania Sabby Angel amesema kuwa ameamua kufanya kazi kwa bidii ili kuwa muigizaji namba moja nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
Sabby ameyasema hayo huku akiwa amefanya makamuzi ya kufa mtu katika filamu yake mpya ya Sio Riziki inayotarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu mwezi huu. Sio Riziki imewakutanisha Sabby Angel, King Majuto, Tino na Dude Kulwa Kikumba.

No comments:

Post a Comment