Pages

Friday, November 28, 2014

Sikuwahi Kutembea Na Diamond Platnumz Bali Nilizushiwa Kunichafua: Irene Uwoya

 Star mkubwa wa filamu Tanzania Irene Uwoya amesema kuwa hakuwahi kutembea na Diamond Platnumz bali ilizushwa kumchafua. Uwoya amesema kuwa pia hajaachana na Ndikumana bali zilizotokea ni tofauti za kawaida tu ambazo hutokea kwa wanandoa wengi.


Uwoya ambaye kwasasa haandikwi hovyo kwenye magazeti ya udaku sababu ikidaiwa ni kuchukia sana kuzushiwa alitembea na Diamond anatarajia kuachia filamu yake mpya iliyowashirikisha wasanii wa Tanzania na nje wakiwemo wa Afrika kusini. Filamu hiyo imeshutiwa Tanzania, Turkey, na S.Africa

No comments:

Post a Comment