Pages

Friday, November 28, 2014

Nashukuru Filamu Ya Siri Ya Giningi Kuzidi Kuniongezea Umaarufu: Sabby Angel

Sabby
Actress anayekuja juu kama moto wa kifuu Sabby Angel amesema kuwa nashukuru sana filamu yake ya Siri Ya Giningi aliyocheza na Salim Ahmed Gabo Zigamba kuwa moja ya filamu zilizouza sana mwaka huu.
Akizungumza live na Swahiliworldplanet Sabby alisema kuwa filamu ya Siri Ya Giningi imezidi kumpa jina klicha ya filamu ya  hard Price aliyocheza na Ray Vicent Kigosi kutangulia kuingia sokoni. Mwezi December Sabby ataachia filamu yake mpya iitwayo Sio Riziki


No comments:

Post a Comment