Wednesday, November 5, 2014

Mama Wema Sepetu Kumbuka Hata Diamond Ana Wazazi: Isabella Mpanda

Isabella Mpanda
Isabela Mpnada ameamua kutoa lake la Moyoni kuhusiana na zile drama za Mama Wema Sepetu kuhusu uhusiano wa mama Wema na Diamond ambapo ma Wema hataki mwane awe kimapenzi na Diamond kwa madai anampoteza tu na kuutumia umaarfu wa Wema kunufaika nao yeye.


Isabella Mpanda ambaye ni mwanamuziki wa Kizazi kipya na beauty queen wa zamani toka mashindano ya Miss Tanzania amesema kuwa kinachoonekana ni kama vile mama Wema kuusemea moyo wa binti yake ilihali moyo wa Wema mwenyewe umempenda Diamond kwa kila hali. Isabella amesema kuwa mama Wema akumbuke kuwa hata Diamond ana wazazi. Akizungumza na Swahiliworldplanet juzi baada ya habri kuripotiwa magazetni kuwa Mama Wema amefanya sherehe kuhurahia madai kuwa Wema kamwaga Diamond alisema......

"kuna ubaya gani kumpa kick mtu unayempenda?, halaf mapenzi hayaingiliwi pia kwani unaopenda ni moyo na sio mwili kwa hiyo mama Wema kama anamtaka Diamond aachane na Wema basi amtoe Wema  moyo hapo sawa, pia mama Wema akumbuke kuwa Diamond ana wazazi, Je mama Diamond anajisikiaje? yeye kaka mzazi anatakiwa akae kimya amuache mwanae moyo wake utakavyo"

                                                    Wema na mama Wema

No comments:

Post a Comment