Monday, November 10, 2014

Kajala Ajiunga Rasmi Facebook, Akaunti Yake Hii Hapa.

Kajala
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja amejiunga rasmi Facebook na kabla ya hapo hakuwahi kuwepo Facebook hivyo akaunti au page zote ulizokuwa ukiona hakuwa kajala halisi.
Kajala amejiunga Facebook jana usiku na akaunt yake ni hii hapa Kajala Masanja . Swahiliworldplanet imepata uhakika kuwa kweli hiyo ni akaunt halisi ya muigizaji huyo wa filamu za Devil Kingdom, Kigodoro na Kijiji Cha ambua Haki. Pia Kajala anatarajiwa kutamba na filamu yake mpya iitwayo Pishu

No comments:

Post a Comment