Pages

Wednesday, November 12, 2014

Behind The Scenes: Lucy Komba, Selembe Toko, Sallai Fatakid Ndani Ya Filamu Mpya " Sorry My Wife".

Baada ya kimya cha muda V.A.D film Production inakuja Movie yake mpya kwa jina la SORRY MY WIFE. Movie imejaa uchungu na machozi.
SORRY MY WIFE ni movie iliyowakutanisha wasani kutoka nchi mbali mbali kama Denmark,Tanzania na Holland.
ndani ya SORRY MY WIFE utakumbana na wasani kama Kevin Blackman, Lucy Komba, Selembe Toko, Sallai Fatakid, Ritta Zongwe, Elianer Emanule, Vumi V Vane, Safi Happy, Tatu Daniel, Justin Zawadi na wengine kibao. Trailer ya filamu hiyo inatarajiwa kutoka muda si mrefu. Angalia picha za behind the scenes..........


Kila la kheri.........

No comments:

Post a Comment