Pages

Wednesday, November 12, 2014

Behind The Scenes: Irene Uwoya, Dude, Ester Kiama, Baba Haji Ndani Ya Filamu Mpya "Msala".

Mastaa wa filamu nchini Irene Uwoya, Haji Adam "Baba Haji", Ester Kiama, Dude Kulwa Kikukmba na Suleiman Barafu wanatarajiwa kuonekana pamoja katika filamu mpya iitwayo Msala. Hizi ni baadhi ya picha wakati wakiwa location..........

Tunasubiri mzigo tu sokoni

No comments:

Post a Comment