Monday, October 27, 2014

Wema Uko Wapi Kuingia Sokoni Siku Yoyote Kuanzia Sasa.

Mashabiki wa filamu za kitaznania wanaonekana kuwasubiri kwa hamu kubwa King Majuto, Masinde, Lufedha na Stanley Msungu wakati watakapoingia sokoni kuanzaia sasa na filamu ya WEMA UKO WAPI ambayo imetengenezwa na na kusambazwa na Lufedha Films.


Usikose kununua nakala yako halisi...........

No comments:

Post a Comment