Wednesday, October 15, 2014

Timamu Casting Agency Inahitaji Muigizaji Wa Kike Mjamzito Haraka Sana.

Timamu Casting Agency ambayo ni kampuni namba moja inayosimamia wasanii mbalimbali wa filamu nchini kuendeleza vipaji vyao mwishoni mwa mwezi huu wa October inatarajia kufanya tangazo.

Hivyo inatafuta muigizaji wa kike(actress) ambaye ni mjamzito wa miezi 7 huku umri wake ukiwa hauzidi miaka 29 ili wafanye nae kazi pamoja.

Kama wewe unayesoma hapa ni msanii mwenye vigezo hivyo au kuna msanii unayemjua mwenye vigezo hivyo basi wasiliana haraka na Timamu Casting Agency kupitia contact hizi ili kupata fursa
 +255714623966 au +255658266662 au tuma picha zako kupitia email yao hii hapa info@tamtanzania.com

No comments:

Post a Comment