Wednesday, October 15, 2014

Jamani Kwasasa Sitaki Mwanaume Napiga Kazi Tu: Rose Ndauka

Rose Ndauka
Baada ya kuacgana na mchumbwa wake wa siku nyingi Malick Bandawe, star mkubwa wa filamu Tanzania, Rose Ndauka anaonekana kutokuwa na interest kuingia katika uhusiano wa kimapenzi kwasasa.
Akizungumza na gazeti moja Rose aliyejaaliwa umbo la kumtia mwanaume yeyote yule amesema kuwa kwasasa hahitaji mwanaume bali anapiga kazi zake za filamu kwa kwenda mbele ili kumlea mwanae Naveen aliyemzaa na Bandawe.

Hii itakuwa habari mbaya kwa vidume vilivyokuwa vikizengea penzi la Rose Ndauka baada ya kumwagana na Malick

No comments:

Post a Comment