Juzi wasanii mbalimbali wa filamu na muziki walikuwa mkoani Dodoma wakati wa Rais Kikwete alipokabidhiwab rasmu ya katiba mpya.
Baadhi ya wasanii hao wenye majina makubwa ni pamoja na Nisha Salma Jabu, Wastara, P-Funk, Tito Zimbwe, Kenny, cameraman Kabuti Onyango, Mtunisy na wengineo. Angalia baadhi ya picha.............
No comments:
Post a Comment