Oriflame kwa kushirikiana na Lady JayDee wamefanikiwa kutoa mchango wa kununulia madawati shule ya msingi Bugoyi ilioko mkoani Shinyanga.
Awamu nyingine ya pili Jaydee atatoa yeye binafsi mwezi January, 2015 kwaajili ya ujenzi wa vyoo na nyongeza ya madawati.
Hongera Jaydee kwa kutambua umuhimu wa elimu na kusaidia vijana katika kupata elimu nzuri.
No comments:
Post a Comment