Wednesday, October 29, 2014

Feza Kessy Amtaka Sitti Mtemvu Kuachia Taji La Miss Tanzania 2014.

Feza
Mwanamuziki Feza Kessy amemtaka Sitti Mtemvu kuachia ngazi taji la Miss Tanzania 2014 kama kweli amedanganya umri.

Feza ambaye aliiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2013 The Chase na pia Mshindi wa Miss Dar City Center na Miss Ilala 2005 abapo alipewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la Miss Tanzania 2005 kuliko Nancy Sumari akizungumza na Globalpublishers alisema....

 "Yeye ndiye anajua ukweli, arudishe kiroho safi, tumche Mungu, katika maisha haya, hasa katika tasnia ya burudani, watu wengi sana wanadanganya, huenda alifanya hivyo bila sisi kujua nia yake, na ninaomba pia kama atafanya hivyo, watanzania tumsamehe"

No comments:

Post a Comment