Sunday, October 26, 2014

Channel O Yamtaja Diamond Platnumz Miongoni Mwa Wanamuziki 10 Waliobadilisha Muziki Wa Afrika.

Diamond
Juhudi na bidii za Diamond Platnumz katika muziki zinaonekana  hata katika vituo vya kimataifa. Channel O imemtaja Diamond Platnumz kama mmoja wa wanamuziki walioleta mabadiliko makubwa katia mzuiki wa Africa kupitia kipindi chake cha Top Ten Most ambacho kinatangazwa na Jokate Mwegelo na Ice Prince atika msimu wake huu mpya. Katika list hiyo Diamond amewekwa nafasi ya kumi akiwa pamoja na Fally Ipupa kuoitia wimon wake wa My Number 1 aliomshirikisha Davido. List nzima hii hapa...........

10.Diamond Platnumz and Fally Ipupa
9. Mafikizolo and Flavour
8. Ice Prince and Naeto
7. Tiwa Savage and Wizkid
6.Dj Jimmyjat and Dj Waxxy
5. Banky W and P-Square
4. Knaan
3. D'Banj and Don Jazzy
2. Boom Shaka
1. 2 Face Idibia


No comments:

Post a Comment