Tuesday, October 21, 2014

Bob Junior Amrushia Sabby Angel Ujumbe Wa Kimahaba Kwenye Birthday Yake.

Sabby Angel
Yale mahaba ya Bob Junior na Sabby Angel yanaendelea kuchanua ! ....Leo hii ni birthday ya Sabby Angel ambapo yupo Moshi, Kilimanjaro
hata hivyo Bob Junior hakusita kumrushia muigizaji huyo mwenye mvuto ujumbe wa kimahaba kama unavyosomeka "Happy birthday mali mtuu hii akisogea mtu namchinja, take a big kiss from your one and only shombeshombe baby mwaaaaaaahxx, busu paaaa juu likufate ulipo@Sabby Angel, Happy birthday"

Sabby yupo Moshi kwa ajili ya mambo ya kifamilia lakini Swahiliworldplanet imepata habari kuwa leo atasherehekea birthday yake huko huko akiwa na ndugu na watu wake wa karibu katika Mekkus Lounge kuanzia saa mbili usiku.

Happy birthday Sabby Angel...........

                                                                 Boby Junior
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment