Wednesday, October 29, 2014

Aunty Ezekiel Anasa Ujauzito !

Star wa filamu Tanzania Aunty Ezekiel ni mjamzito..? hilo ni swali ambalo mashabiki wake wengi wanajiuliza huku wengine wakimpongeza baada ya kuweka picha Instagram akiwa na JB katika birthday yake juzi huku tumbo likiwa limetuna!.
Picha yenye ndo hiyo hapo juu

Pia Aunty siku za karibuni amekuwa akiwa weka picha a wajawazito huko instagram na miezi takribani mitatu nyuma alisema anataka kuitwa mama sasa. Je kimejibu..! watch this space for more


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment