Friday, September 26, 2014

Wema Sepetu Amsaka Meninah Kwa Kumkwapulia Diamond Platnumz.

Wema Sepetu
Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka  meninah kwa udi na uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.
Inadaiwa kuwa Meninah tayari pia amejua kuwa anasakwa na Wema hivyo kuingiwa na hofu, ingawa akizungumza na gazeti moja la udaku jana Meninah alisema kuwa hatoki na Diamond bali anasingiziwa tu.

                                                                        Meninah
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment