Sunday, September 28, 2014

Photos: Birthday Of The Year ! Wema Sepetu Azawadiwa Magari Mawili Kwa Mpigo Kwenye Birthday Yake.

BMW alilozawadiwa Wema Sepetu
Pengine hii ndiyo birthday ya mwaka hasa kwa celebrities wa Kitanzania baada ya Wema Sepetu kuzawadia zawadi kibao yakiwemo magari mawili moja Nissan Murrano jeusi alilozawadiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz na jingine BMW hatari la rangi nyeupe zawadi toka kwa mtu mwingine ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
Hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani Wema ana damu kali ya kupendwa na watu.

Nissan Murrano alilozawadiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz
more pics coming soon..........


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment