Tuesday, September 23, 2014

Irene Uwoya, JB, Jokate Na Richie Kuliteka Soko Na Filamu Ya "Mikono Salama"

Filamu ya Mikono Salama inatarajiwa kuwasha kivumbi sokoni kuanzia tarehe 25 keshokutwa. Mashabiki wa filamu za kitanzania wanaonekana kuisubiri kwa hamu kua filamu hiyo ambayo imewakutanisha mastaa wakubwa nchini kama JB Jacob Stephen, Irene Uwoya, Jokate Mwegelo, Richie Single Mtambalike na hayati Adam Kuambiana.
Story ya filamu hiyo inaonekana kuwa tofauti na ya kuvutia

Hakikisha hukosi kununua nakala yako halisi kuona movie hiyo

M-follow JB Instagram katika hii link hapa upate updates zake na filamu zake JB Jacob Stephen

No comments:

Post a Comment