Wednesday, September 24, 2014

Sina Mzuka Wa Kupiga Picha Kila Wakati: Frank

Frank
Star wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi hana mzuka wa kupiga picha mara kwa mara tofauti na mastaa wenzake wengi ambao bila kupiga picha na kuweka kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram hujihisi kuumwa.
Frank amesema kuwa hapendi tu kupiga mara kwa mara na hana sababu maalum

No comments:

Post a Comment