Thursday, August 14, 2014

Wema Sepetu Atangaza Kutoa Mil.1 Kwa Atakayemuona Mbwa Wake Aliyepotea.

Wema Sepetu amesema kuwa atakayemuona mbwa wake aitwaye Vanila au Vani na kumpa taarifa au kutoa taarifa kituo cha polisi atampa shilingi milioni 1 taslimu. Kwa mujibu wa Wema ni kuwa mbwa wake huyo alitoroka juzi baada ya kugombana na mbwa mwenzake aitwae Fiona ambaye wanakaa wote Nyumbani kwa Wema Kijitonyama na kuamua kusepa na kumuacha Madam Wema akisononeka na kukosa raha.

Kwa muda mrefu Wema amekuwa akitumia gharama nyingi kuwatunza mbwa hao kiasi cha kuzua gumzo kw watu na mashabiki wake.

                                                       mbwa wa Wema
                                        Wema akiwa na Vani
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment