Friday, August 29, 2014

Wellu Sengo, Shamsa Ford Na Tausi Wafunika Kwa Kucheza Katika Birhday Ya Odama.

Wellu na Shamsa Ford
Juzi birthday ya Odama Jennifer Kyaka ilifana baada ya kutoa misaada kwa yatima, kula nao chakula cha usiku huku wasanii wenzake wakimpa sapoti.
Hata hivyo ilipofika zamu ya kucheza muziki Tausi muigizaji mfupi sana nchini aliyetamba katika filamu ya Gumzo alifunika kwa kucheza huku akituzwa pesa nyingi akiwemo Kajala kumtunza. Shamsa Ford na shoga'ke wa karibu Wellu Sengo nao hawakuwa nyuma kwa kuonyesha dancing skills zao. director Leah Mwendamseke nao alinogesha event hiyo kwa kudansi.

No comments:

Post a Comment