Thursday, August 21, 2014

Watoto Wapagawa Na Filamu Za Nisha ! Humzingira Kila Wanapokutana Nae.


Watoto kila wanapomuona star wa filamu nchini Salma Jabu Nisha huwa wanachanganyikiwa kutokana na kukoshwa na vituko vyake katika filamu mbalimbali. Sehemu anayokuwepo Nisha kama kuna watoto huwa shughuli maana lazima wamfuate kama ilivyokuwa juzi wakati wa dua ya kuwaombea wasanii mbali mbai waliofariki, watoto walishindwa kujizuia na kuanza kupiga makelele huku wakiimba nyimbo za kwenye filamu alizocheza Nisha

No comments:

Post a Comment