Monday, August 25, 2014

QMobile Tz Ndio Habari Ya Mjini Kwa Wafanyabiashara Wakubwa Na Wadogo

Mtandao wa www.m.qmobile.co.tz ambao hutoa huduma za matangazo ya biashara mbalimbali kwa bei nafuu kupitia simu za kisasa kwa waliouona tayari wameanza uwapongeza waanzilishi wake ambao ni Quantum Computers Technologies Tanzania.

Mtandao huo umeanza kujipatia umaarufu kutoka wa makampuni na wafanya biashara mbalimbali wakiwemo wafanya biashara, makampuni makubwa na madogo kwasababu popote pale mtu alipo akiwa na simu ya kisasa huona matangazo na huduma za mfanyabiashar husika. Kama wewe ni mfanyabishara ingia katika link hiyo hapo juu na wasiliana nao ili kutangaza biashara yako kwa bei nafuu. Pia kwa yeyote anaweza kuingi katika link na ku-download application ya Qmobile Tanzania na kuona huduma mbalimbali.

No comments:

Post a Comment