Monday, August 25, 2014

Photos: Nisha Anapotoa Support Kwa Team Nisha Harusini.

Bwana harusi Abdallah Mambo na bibi harusi Samira Said
Juzi likuwa harusi ya mmoja wa wanachama wa Team Nisha(Salma Jabu Nisha) ambao ni wakereketwa wakubwa wa filamu za Nisha na pia wengine hufanya kazi kwa ukaribu na Nisha akiwemo Abdallah Mambo aliyefunga ndoa juzi na Nisha kuwepo huku akipiga dufu, mastaa wengine wa filamu waliokuwepo alikuwa Happy Nyatawe na Aisha Bui. Jionee picha.........


No comments:

Post a Comment