Wednesday, July 23, 2014

Photos: T.A.O Films Ya Denamrk Na NGG Productions Ya Holland Waja Na Filamu Ya Chozi Langu.

NGG Productions ya nchini Holland na T.A.O Films ya Denmark wameamua kuungana kikazi na kuja na filamu mpya inayoitwa "Chozi Langu". Wasanii waliocheza ni pamoja na Devotha Alfred ambaye ni mtanzania anayesoma nchini German, Frank Salum, Gaby Kihota, Antoinette Rossi, Blandine Wakengo, Betelihem Zelalem, Solange Jackline na Alex Bikorimana. Angalia baadhi ya picha za utengenezaji wa filamu hiyo............

Ni matumaini yetu itakuwa filamu nzuri, pia nimependa jinsi wanavyotumia mavazi ya kiafrika licha ya kuwa Ulaya.

No comments:

Post a Comment