Tuesday, July 29, 2014

Photos: Selembe Toko Aja Na Mpya Toka Ufaransa.

Baada ya kimya cha muda kidogo muigizaji Selembe Toko anakuja kivingine sasa baada ya kuwa nchini Ufaransa kukutana na Diego Music ambaye ni producermaarufu aliyewahi kufanya kazi na kina Koffi Olomide, Werrason na Ferre Gola.
Diego ameukubali uwezo wa Selembe kikazi baada ya kuona filamu zake alizoigiza chini ya VAD na Diego kuahidi kufanya kazi pamoja, Vile vile kama ukiitaka filamu ya Nimwamini Nani toka VAD nchini Denmark basi utaipata katika duka la Diego Music France. Hizi ni picha za Selembe akiwa Ufaransa................

                                                              akiwa na Diego

No comments:

Post a Comment