Tuesday, July 29, 2014

Mtunisy Kuwasaidia Wasanii Wachanga Kupitia Filamu Zake Zijazo.

Star mkubwa wa filamu nchini Mtunisy Nice Mohamed amepanga kuwasaidia wasanii wachanga ambao hawajui pakutokea. Kupitia Instagram Mtunisy anayetamba sokoni na filamu za Tomboy, The Dream, Clinic Love na nyinginezo alisema kuwa atawasaidia wasanii hao kupitia kampuni yake ya Nice Entertainment katika kazi zake zijazo

No comments:

Post a Comment