Odama amesema kuwa filamu yake mpya ya Inside akiwa na mastaa wenzake kadhaa ana matumaini itafanya vizuri sokoni kutokana na kubeba ujumbe mzuri kwa jamii. Odama amesema kuwa linapokuja suala la kazi huwa yupo makini sana kuwapa mashabiki wake kitu roho inapenda. Inside inaingia sokoni tarehe 10 mwezi huu wa July.
No comments:
Post a Comment