Monday, July 21, 2014

Kitale Mkude Simba Amwagia Sifa Kemkem Riyama Ally.

Kitale
Msaani marufu wa filamu za vichekesho nchini Kitale au Mkude Simba amemwagia sifa kemkem Riyama Ally kuhusu kazi zake za filamu. Kitale ameandika "Huyu mdada mimi napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba hachagui scene yeye ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, hongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! sijui niseme anaboa..!! wewe mdada unajua mpka unaboaaaa"

                                          Riyama
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment