Saturday, July 19, 2014

Gabo Zigamba Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Namkubali Sana: Odama

Star wa filamu nchini ambaye pia ni producer kupitia kampuni yake ya J-Film 4 Life Odama Jennifer Kyaka amesema kuwa kwasasa muigizaji wa kiume anayemkubali sana ni Salim Ahmed "Gabo Zigamba" kwa madai ana kipaji cha hali ya juu na kuweza kuigiza popote pale. Akizungumza na GPL Odama ambaye filamu yake mpya Ya Inside tayari ipo sokoni tangu juzi alisema
"Walikuwepo wengi huko nyuma ila kama ulivyosema kwa sasa namkubali zaidi Gabo, ni msanii mzuri sana sema kama watu wengi hawajamshtukia"

Gabo
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment