Thursday, July 24, 2014

Filamu Ya Mume Bora Kufanya Kweli Sokoni.

Filamu ya Mume Bora imebakiza siku chache tu kabla ya kuingia sokoni rasmi huku ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania. Filamu hiyo inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 30 mwezi huu. King Mjuto, Salehe Lufedha, Modest Bafite na Nyakisory wamefanyab yao humo ndani kiasi cha kukulazimu uinunue filamu hiyo.

No comments:

Post a Comment