Pages

Friday, June 13, 2014

Photos: Lulu Aolewa Kimya Kimya !

Lulu katika vazi la harusi
Picha mpya za Star wa filamu Swahiliwood Elizabeth Michael "Lulu" akiwa amevaa shela zimewapa sintofahamu mashabiki wake kama muigizaji huyo ameolewa kweli kimya kimya au ni picha kwa ajli ya filamu yake mpya...! Kupitia Instagram Lulu aliyejaaliwa mvuto wa haja ali-share picha zinazoonekana.

Tutakupa updates kama Lulu ameolewa kweli kimya kimya au ni movie yake mpya

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment