Pages

Friday, June 13, 2014

Mimi Na Diamond Tunapendana Sana Mpaka Kupitiliza: Wema Sepetu

Wema Sepetu amesema kuwa kwasasa yeye na mpenzi wake Diamond Platnumz wanapendana sana mpaka kupitiliza kwasababu wamejifunza kutokana na makosa yao ya mwanzo. Akizungumza na Bongo5 nchini S.Afrika walipoenda kuhudhuria tuzo za MTV Africa Music Awards 2014 Wema alisema

 "tume-experience good times together, bad times together, sad times, happy times, sasa hivi tumefika point tumetulia. tumeshaumizana, yeye kashaniumiza, mimi nilishamuumiza, kwa hiyo imefika point tumetumetulia, what we are looking for is just to make our future better na ndiyo maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababau tayari nimeshajua he is my man, am his woman" alifunguka Wema mwenye umaarufu mkubwa kuliko hata baadhi ya viongozi wa kitaifa nchini

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment