Tuesday, June 10, 2014

Nuhu Mziwanda ajichora Tattoo Ya Shilole Baada Ya Kudata Kwa Mahaba Mazito.

Nuhu akiwa na tattoo yenye jina la "Shishi Baby"
Nuhu Mziwanda ameonekana kudata na penzi la Shilole na kuamua kujichora kabisa tattoo yenye jina lake "Shishi baby" kama inavyoonekana pichani. "coz nampenda mke wangu nimeamua kujichora jina lake ! ila inauma kuliko tattoo iliyopita sijui kwanini??? aliandika Mziwanda.

Shilole sasa unadhani alijibuje kwa mwandani wake huyo "thankx my love for this! umeonyesha love ya ukweli" aliandika Shilole.
                                                                    Shilole
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment