Tuesday, June 24, 2014

Lulu Akana Madai Ya Mapacha Kuwa Wamemshirikisha Katika Wimbo Wao Mpya.

Baada ya Mapacha kuachia wimbo wao mpya na kusema kuwa wamemshirikisha star wa filamu Swahiliwood Elizabeth Michael "Lulu" actress huyo ameibuka na kukana habari hizo za kushirikishwa katika wimbo huo mpya unaoitwa "Time For The Money". Kupitia Instagram Lulu ameandika
'mwe.......mwe.....mwe !....mbona mnaninyanyasa....'in Senga's voice' I swear sina idea na huku kushirikishwa.....au kuna Elizabeth Michael "Lulu" mwingine !??? Dah..hebu mliosikia huo wimbo labda mniambie maana nashirikishwa kimiujiza jamani"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment