Friday, May 16, 2014

Wastara Asononeshwa Na Boko Haram.

Wastara akiwa na mchumba'ke aliyemvalisha pete ya uchumba juzi
Star mkubwa wa filamu Swahiliwood Wastara Juma ameungana na wanawake, celebrities na watu wengine duniani kupinga kitendo cha Boko Haram kuteka wasichana wa shule huko Nigeria. Akizungumza live na Swahiliworldplanet  toka London star huyo alisema kuwa yeye kama mzazi anaumizwa na kitendo walichokifanya Boko Haram "mimi kama mama najua uchungu wa mtoto hivyo moyo unaniuma kuona Boko Haram wamewateka watoto wa kike na sijui wanawafanya nini huko mpaka leo"

No comments:

Post a Comment