Photos Kutoka Kwenye Birthday Party Ya Muigizaji Efrancyah Mangii.
Muigizaji wa filamu nchini aliyeanza kujipatia umaarufu wakati aliposhiriki shindano la Maisha Plus Efrancyah Mangii jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kufanya party ndogo na watu wake wa karibu kama picha zinavyoonekana.
No comments:
Post a Comment