Saturday, May 10, 2014

Modest Bafite Kuingia Sokoni Na Irene Paul Na King Majuto Kwa Wakati Mmoja.

Modest
Muigizaji wa filamu anayekuja juu nchini Modest Bafite kesho kutwa Jumatatu atakuwa sokoni na filamu mbili kwa mpigo moja akiwa ni Mama Ntilie aliyoigiza na Irene Paul na nyingine ni Sio Sawa aliyoigiza na King Majuto, Salehe Lufedha, Babylove Kalalaa ambapo tayari imeanza kusambazwa mikoani na kwa Dar es salaam inaingia rasmi Jumatatu ya wiki ijayo kwa hiyo hakikisha unanunua nakala yako halisi uone alichokifanya Modest.

No comments:

Post a Comment