Saturday, May 3, 2014

Filamu Ya Tom Boy Yawa Habari Ya Mjini.

Filamu Ya Tom Boy iliyoigizwa na mastaa Jackline Wolper, Nice Mohamed "Mtunisy" na Muhogo Mchungu ipo madukani inaendelea kununuliwa na mashabiki wa filamu za kitanzania kutokana na kuwa na kisa kizuri. Wahi sasa kununua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment