Saturday, May 3, 2014

Filamu Ya "The Stolen Dreams" Kuzinduliwa Leo Hii CCM Kirumba, Mwanza.

Chuchu Hans
Filamu ya "The Stolen Dreamz" inazinduliwa leo hii katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. wasanii waliogiza filamu hiyo ni pamoja na Chuchu Hans, Jengua, Annasiri Msangi, Danny Kaboma na wengineo.
Kupitia Facebook Kaboma ameandika "CCM Kirumba ni leo ndugu zangu,tujitokeze kwa wingi kushuhudia uzinduzi wa THE STOLEN DREAMS ni pale kaitka viwanja vya CCM Kirumba, Mwanza,kwa kiingili cha sh. 2000 kwa wakubwa na 1000 kwa watoto, njoo ushuhudie burudani kali kutoka kwa H.Baba, Dark Master,Chuse na wakali wengine kibao, njoo pia uwaone waigizaji mbali mbali wakidondoka kutoa sapoti huku wakiongozwa na tapeli alieshindikana mjini,namzungumzia DUDE, karibuni sana na ukikosa ujue hauna shabaha, ni leo CCM Kirumba"

Annasiri Msangi mmoja wa waigizaji wa filamu hiyo

No comments:

Post a Comment