Wednesday, April 9, 2014

Wimbo Wa Baby Madaha Waingia Kwenye Tuzo Za MTV Europe Awards 2014.

Baby Madaha


Wimbo wa Baby Madaha ambaye ni mwanamuziki na muigizaji wa filamu Tanzania uitwao Nice And Slow umeingia katika tuzo za MTV EUROPE AWARDS 2014. Akizungumza na Bongo5 Madaha amesema kuwa waandaaji wamemtumia taarifatayari na sasa anasubiri kutumiwa code maalum ya wimbo huo kwa ajili ya kuanza kupigiwa kura rasmi.
Wimbo wenyewe ni huo hapo chini....


No comments:

Post a Comment